HOME OF FIGURES

HOME OF FIGURES
Kampuni ya kizalendo inayoongozwa na Mtakwimu  Kijana kutoka Tanzania.FRANK .A.LYIMO ni mtakwimu aliyefudhu mafunzo ya utakwimu toka chuo cha kimataifa cha takwimu Afrika Masharik na Kati ( EAST AFRIKA STATISTICAL TRAINING CENTRE) kilichopo Changanyikeni ,Kinondoni ,Tanzania na Chuo kikuu cha Dodoma.
Akishirikiana na timu ya vijana  kutoka chuu kikuu cha Dar es salaam,Mzumbe na Dodoma wapo tayari kukuhudumu sasa.katika Nyanja zifwatazo
·         Program installation and training
·         Project proposal
·         Project monitoring and evaluation
·         Research  and survey
·         Data cleaning
·         Data analyzing
·         Report writing
·         Report editing
·         Statistical reference books

Utendaji wetu wa kazi unazingatia mabadiliko ya techonolojia na kazi zetu zote huwa tunazimaliza kwa wakati  na zinakuwa katika kiwango kile mteja alichokihitaji.

Sisi ni vijana wa kitanzania tumeamua kujiajiri kwa kutumia ujunzi tulioupata toka kwenye vyuo yetu vya hapa nyumbani .
Karibu tukuhudumie tupo Ubungo ,Dar es salaam,Tanzania

Wasiliana na
Mkurugenzi mtendaji home of figures
Kwa simu: 0713592224 au 0767592224
Barua pepe : franklyimo@gmail.com
Fax namba:    0736604852
Pia unaweza ungana nasi kwenye FACEBOOK bonyeza link hapo chini.


“Takwimu sahihi kwa maendeleo yako na taifa kwa ujumla”

No comments:

Post a Comment