TANGAZA BURE

TANGAZA BURE
Huduma ya tangaza bure imebuniwa na mtaalamu wa Blog na website Frank A.Lyimo ili kukuwezesha wewe mjasiliamali  kutoka kona zote za dunia kutangaza Bure biashara yako au huduma yako na iweze kuwafikia maelfu ya watazamaji wetu duniani kote.
Jinsi ya kutangaza bure ni rahisi:
1.       Andaa tangazo lako kwa maneno yasiyozidi 50 kisha litume kwenye barua pepe ya info@vipeperushi.com au kwenye simu namba + 255 713592224
2.       Tangazo lako litaonekana kwenye blog zetu siku inayofuata kupitia mfumo wetu wa matangazo unaoitwa wave surfing system unaopatika katika blog zetu za SK NETWORK.

Kumbuka tangazo lako lisizidi maneno hamsini

Ila kama utapenda Tangazo lako liwe na:
·         Maneno zaidi ya hamsini
·         Liwe na picha
·         Liwe na picha  na maneno.
Gharama zitatozwa kwa kila Tangazo utakalo tuma utatozwa Tsh 500/=
Kuona jinsi mfumo huu unavyofanya kazi tazama blog zetu za SK Network ujionee maajabu ya technologia na ubunifu,utaona tangazo lako likitembea taratibu.

BIASHARA NI MATANGAZO NA WATANGAZAJI NI SK NETWORK, TANGAZA SASA BURE KABISA


(masharti   na vigezo   kuzingatiwa)


No comments:

Post a Comment