VIPEPERUSHI COMPANY

Vipeperushi company
Vipeperushi company ni kampuni bora na yenye uzoefu wa kutoa huduma za urushaji na usambazaji wa matangazo Tanzania.Vipeperushi iliyoanzishwa mwaka 2011 imekuwa ikikuwa kwa kasi siku baada ya siku na kupata wateja kila kona ya nchi  kutokana na huduma zake zilizo bora na za kisasa.
Kampuni hii ya kizalendo inatoa huduma zifwatazo:
·         Usambazaji wa matangazo madogo madogo yasiyo na picha kwenye mitandao.
·         Usambazaji wa matangazo yenye picha katika mitandao .
·         Uungaji wa kampuni  kwenye mtandao ya kijamii.
·         Utafiti wa idadi ya watu wanaoijua kampuni yako,au bidhaa yako.
·         Utafiti wa eneo linafaa kuanzisha biashara yako.  N.k

Huduma zote hizi zinatolewa kwa ustadi mkubwa na kwa wakati.
Tembelea website yetu kwa maelekezo zaidi
pia unaweza piga simu + 255 71359224  au +255 767 592224 
kumbuka :bidhaa zaweza kufanana kabisa ,mauzo yakatofautiana kutoka ni nani kati yenu kawekeza vizuri kwenye matangazo.maana::::
“biashara ni matangazo”


No comments:

Post a Comment